Oa Aaaah Oooh Aaah Ooh aah ooh
Alisema mapezi Vita Mi Na Yeye Tuungane Kuwateketeza Maadui Eeh Maadui
Badala Ya miezi kupita Aah Vikombe Lazima Vigongane Na Sio Kwamba Hayajui Eeh Hayajui
pigo Za Kusema Vya ndani Mi Sinaga Hizo Ama Kumtafata Mchawi Ni Nani Ni Kuongeza Tatizo Tulia hapa Tutakuwa wa Ndani hadi kweupe mambo ya hadharani Na Tattoo Ndo nizo Ooh Ooh Ooh
Sitaki Kuamini kwamba lile kapu la mabaya yangu kapu la mabaya yanga halina hata Machache Mema oh Mema Nitakuwa mshamba Nikiyasema yote Mabaya Ya Mwenzangu ili Nionekane Mwema
Chorus
Japo Mapenzi Yanaumiza I wish Tusizemane (Vibaya Vibaya)
ili Kesho Tusizikane (Vibaya Vibaya)
usiwasikilize wapambe (Vibaya Vibaya)
wanachotako Maneno ili kesho watuchambe (Vibaya Vibaya)
Oa Aaaah Oooh Aaah Ooh aah ooh mmh
Verus
Nitaunzie siri zangu Nami Nitunze Zako Za Miaka Nidi Nenda Kuna Leo Na Kesho Mmmh.. Mmh Mmh
Hata Maadui Zangu Walikuwaga Maadui Zako Hawawezi Kukupenda Wanakuvuta Uwe Kichekesho
Mmh Mmh Mmh
Maana Hata Ukisambaza picha zangu za aibu ni sawa hata utupu wako Ukiutandaza kwa watu wangu wa Karibu Sio doa Hujengi Hubomoi Mama Kuna Kamchezo mtunze Mtoto wako Na watu wenye Majunga (Majunga)
Nilikubali kuviacha Vya Dezo Sababu ya Mapenzi yako Nikaachana na mzungu (mzungu)
Maneno Yao Utadhani Wanakuvuta Kumbe Tudhalilishane Usiwape Faida Wambea Na Ni Kama kawaida Nakuombea sitaki Kuamini Kwamba Lile Kapu La mabaya yanga halina hata Machache Mema oh Mema Nitakuwa mshamba Nikiyasema yote Mabaya Ya Mwenzangu ili Nionekane Mwema
Chorus
Japo Mapenzi Yanaumiza I wish Tusizemane (Vibaya Vibaya)
ili Kesho Tusizikane (Vibaya Vibaya)
usiwasikilize wapambe (Vibaya Vibaya)
wanachotako Maneno ili kesho watuchambe (Vibaya Vibaya)
Oa Aaaah Oooh Aaah Ooh aah ooh mmh
Konde Music WorldWide
B Boy Thank You For The Sound Sound Sound
watch the full music lyric from here
Post a Comment
0Comments